Diet "DAY 20"Asubuhi ukiamka kimbia saa 1 nzima


Ukirudi ruka kamba kwa dakika 15

Sit-ups 70 -75

Maji moto glass 4BREAKFAST

1 Cup of Tea/Coffee

Corn Flakes

Fruits kibao

Mchana maji moto glass 4LUNCH:

Robo kuku wa kuchomwa, Rice na VegetablesJioni kimbia saa 1, ruka kamba dakika 15, fanya sit ups 70-75

Kunywa maji moto glass 4DINNER:

Mishkaki 3 ya beef na ndizi za kuchemsha za bukoba plus SaladNo comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive