CHEREKO, NDEREMO NA VIFIJO WAKATI WA KUMUAGA "Ester Ulaya" - TABOBA " Ili aende akaishi na Mume"

Hii ni intro tu Send Off party yenyewe bado picha zaja, nadhani hii ni pre
Kinyumbani zaidi

Husaband to be, hatari kitu gani banaa, waliamua kuvaa sare sare maua


Kwa jina la Baba la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amen

Wana Familia

Ngoma za asili uwapo Nyumbani zina utamu wake

Faraji unaweza kupika pombe ya kienyeji au uzushi tuu????
Asante kwa kutuwakilisha LA FAMILIA

Hapo sasaa

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive