Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Balozi Seif Alli Iddi, akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Shillingi Millioni 20 kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Jamii-NMB, Shy-Rose Bhanji, ikiwa ni msaada wa benki hiyo kwa ajili ya wahanga wa ajali ya meli iliyotokea iliyotokea hivi karibuni huko Zanzibar. Kushoto ni Meneja wa NMB tawi la Zanzibar.


No comments:
Post a Comment