KONRAD ANATAFUTA MCHUMBA

Mpendwa dada Jide,

mimi ni kijana wa miaka 25 naishi ughaibuni, Ujerumani. Ningependa nigeukie Globu hii ya jamii katika kutafuta msichana ambaye atakubali tuoane hapo baadaye na tupate watoto.
Ningependa kupata msichana wa kati ya miaka 18-23 na dini awe Mkristo, kabila sibagui.

Siku zote niliamini kwamba inatokea wapendao wanakutana tu, lakini haikuwa hivyo.

Naomba msichana ambaye atajitokeza anitumie mail kwenye anuani hii konradcash@yahoo.com na baada ya hapo tunaweza kuwa na mawasiliano zaidi.Mimi ni kijana ambaye niko serious na si kwa ajili ya kupotezea watu mida.

Asante kwa muda wako na msaada wako

Konrad

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive