MKANDA KAMILI WA PICHA ZA HARUSI YA Ester Ulaya na Cathber Angelo

Beatifull Ester and husband Cathbert

Mimi Cathber ........... nakutwaa wewe Ester.... uwe mke wangu halali wa ndoa, katika shida na raha .............mpaka kifo kitakapo tutenganisha

Waka Waka


Ushahidi ni huu, msije kusema haikuwa kweli au ni movie labda walikuwa wana act, nooo!! ni kweli bana.Ma Champanyoo yenye kilevi na yasio na kilevi kwa maharusi na wageni waalikwaCaptain aliniwakilisha, nimemisiijee

Na hadithi ikaishia hapo.
Mnuso ulipoisha naskia wakaelekea Nyumbani Lounge kukamilisha furaha ya siku yao kubwa

Kila kheri karibuni sana dunia hii.

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive