Diet "DAY 19" Bado siku 11, ukishamaliza unaweza kuendelea kuishi hivyo kama utaweza ila ku Cheat ImoUkifatilia haya mazoeze na hii diet mwisho wa siku unaweza kuwa na mwili mzuri kama huu

Hata kama ulikuwa mnene kiasi au sana

Discipline ya chakula na mazoezi ndio jambo la msingiWatu wengine kweli wamezaliwa hivi ila unaweza ukajitengeneza na wewe tu ukapata mwili unaoutaka, sio lazima uwe kabisa kama hivi ila unaweza ukakaribiaHaya, siku ya 20 !

Asubuhi unaweza kukimbia saa 1 nzima

Ukafanya sit ups 70 -75 tunaenda tunapanda inabidi kufikisha 100 by siku ya 30Maji moto glass 4BREAKFAST:

1 Cup of Tea/ Coffee "kijiko 1 cha sukari"

1 Boiled sausage

1 Boiled egg

1 Glass of milk

1 Toasted brown bread

1 Big appleMchana maji moto glass 4LUNCH:

2 Fish mishkaki na matunda kwa wingi sanaJioni unakimbia saa 1 nzima

Kisha unakunywa maji moto glass 4DINNER:

Steak robo kilo ichomwe unaweza kuweka sauce yoyote unayotaka kuongezea ladha

Jazia na salad kisha ulaleUnaweza kunywa glass 1 -2 red wine ukipenda

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive