SEND OFF YA ESTER ULAYA - Tabora

Ester Ulaya akinema wakati wa kuingia ukumbini, ndio anaenda hivyoo

Huyo wa kulia sio Bwana harusi, "atambee" ni muwakilishi wa La FAMILIA (Faraji Mohammed)


Mbwembwe na madoido ya wasindikizaji

Ka Ester mdogo pia kalikuwepo kusindikiza


The Lucky guy, Cathbert Angelo "Kajuna's son" ndie mume mtarajiwa wa Ester, wameshafanana kabla hata hawajaoana

Asante mama

Wazazi

Wazazi upande mwingine

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive