ILE NYUMBA NILIMOKUWA NAISHI MWEZI AUGUST NIMEHAMA..... MWEZI SEPTEMBER NIMEHAMIA SEHEMU NYINGINE HII HAPA

Kwasababu mama mwenye nyumba niliokuw naishi ana maneno mengi sana na yeye anaishi humo humo ndani.
Hiyo ndio adha ya upangaji
Mpaka muda wa kurudi anakupangia, na uzee huu??
Haihusu hata kidogo


Kwa sasa niko hapa, hivi vitu sio vyangu wala nini
Nikiondoka naviacha kama nilivyovikuta

Ila imenipa hamu na hamasa ya kupata jumba kama hili
Labda in 5 years to come nitajenga nzuri hata zaidi ya hii


Mapishi na diet itakuwa inaendelea humu, nikipata muda lakini sio kila siku







Nashinda na Bruno Mars nalala na Bruno Mars kwenye hako kaji radio kadogo

Nice eeh??
Ku blog pia hapo hapo


Story zingine baadae kidogo, hii ni habari kwa ufupi tu

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive