SUN LOUNGE

Hii mashine wazungu wanaingizwa humu ndani kisha mtu anafunikwa, Anapikwa mpaka apate ile rangi flani ambayo anaipenda yeye

Binadamu huwa tunatamani kile tusichokuwa nacho, wakati wa Afrika wanajikoboa kuwa weupe wadhungu nao wanataka rangi ya Chocolate

Na hii nadhani ni kwakuwa Nchi za huku hakuna lile jua haswa la kuwachoma mpaka wakaungua wakaipata ile rangi.
Kama ambavyo tunawaona wengi wao wakija Afrika wanajianika juani wee mpaka wabadilike
Ili kurahisisha mambo wakatengeneza mashine ya jua

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive