NAIBU WAZIRI ATEMBELEA MAONYESHO YA HARUSI DIAMOND JUBILEE

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, jinsia na watoto, Mh. Ummy Ally Mwalim, jana alipata muda wa kutembelea maonyesho yanayoendelea ya Harusi ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee jana jioni.

Akizungumza baada ya kutembelea mabanda yote yanayokadiriwa kuwa zaidi ya 50 ya wajasiriamali tofauti tofauti wanaojihusisha na masuala ya harusi, Naibu waziri alimsifu muaandaaji wa maonyesho hayo, ambae pia ni mbunifu mahiri wa mavazi nchini, Mustafa Hassanali kuwa ni mjasiriamali anayejituma na ni mfano wa kuigwa.


“kwa kweli Mustafa amefanya kitu cha kipekee sana, naa ni mfano wa kuigwa, hii inawapa wafanyabiashara husussani wale wa mapabo na keki kuweza kujitangaza na kujifunza mengi wao kwa wao” alisema mheshimiwa Waziri.


No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive