BAADHI YA PICHA WAKATI WA UTENGENEZWAJI WA VIDEO MPYA YA LADY JAYDEE - WIMBO UNAITWA - WANGU

Make up na nywele siku zote huwa ni Marcell (katikati)
Video hiyo ya wimbo mpya ambao unatarajiwa kutoka anytime soon utengenezaje wake umesimamiwa na vijana watatu kutoka Afrika ya kusini ambao wanahusika kutengeneza Tamthilia ya Jacobs Cross..

Ni matarajio kuwa itakuwa ya Quality ya hali ya juu kuliko zingine zote zilizopita....
Watatu hao walikuja maalum kwa ajili ya ku shoot Video hiyo ya wimbo - Wangu
Walitumia muda wa wiki nzima kukamilisha zoezi hilo na kurejea nchini kwao South Africa kwa ajili ya Editing

Ikiwa tayari mtakuwa wa kwanza kuiona kupitia humu humu bloguni

Wimbo umetengenezwa na Producer Bob Junior "Mr.Chocolate Flava"
Studio - Sharo Baro Records


Kutoka kushoto ni Thabang Kagiso Moyela, Jide, Kutlwano Olefile Rantsou Ditsele na Rangwetsane Keith Maphike





Asanteni kwa kuendelea kum support Lady JayDee
Narudi serious tena kwenye game baada ya kujikita kwenye biashara mpaka muziki nikausahau kidogo ila hasidi haachi asili...Mtafurahi


No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive