KITAA - ATHENS "GREECE"


Hawa wauza wa barabarani, "mahindi na karanga" wakija bongo wakafungua viduka, wakapaki bidhaa zao katika viplastiki wakaweka na nembo yenye rangi rangi, wataonekana professional hata mama ntilie wanadharaulika Wakati ya mama ntilie matamu zaidi.

Sababu si mnaijua?? Wake up

Kinachowashinda Mama Ntilie na Machinga wetu ni Mpangilio na Usafi Manake hata Toroli la kuuzia hizo bidhaa ukiliangalia unajifikiria mara mbili kununua na kula Ila kama likiwa safi sio aibu hata kusimama na kununua Nadhani umaskini na makuzi yanachangia, Ila bidhaa za mtaa Tanzania zinauzwa katika mazingira machafu sanaGucci, LV nakadhalika za kufyatua zinapatikana barabarani chini kama Kariakoo tu Ukitaka vya original pia unaweza kwenda madukani, bei yake sasa! Ada ya watoto ya shule usipoangalia hulipi kwa kuendekeza majina

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive