RATIBA YA YATAKAYO JIRI WIKI HII NYUMBANI LOUNGE - KWA KIFUPI

La kwanza ni hili la mipira kwa tarehe 5 na 6 April


Mengineyo ni taarifa kuwa Jumatatu mpaka Ijumaa ya wiki hii
Chakula cha Buffet tu, narudia Buffet tu kitapikwa na Jide a.k.a Binti Machozi
Vyakula vingine wataendelea kupika ma Chef husika

Hii ni exclusive Siku za katikati ya wiki, kwa wiki hii moja tu kuanzia saa 6:00 Mchana - 11:00 Jioni
Jumatatu ya Tar 4 April - Ijumaa ya 8 April

Na Menu ya Jumatatu itakuwa :

Starter:
Beef Cubes Soup

Mlo Mkuu ni:

* Muhogo wa Nazi
*Wali mweupe
*Njegere
*Nyama Moto "Mbuzi" "Ng'ombe"
*Kisamvu cha Karanga na Nazi
*Captain Chicken
*Red Snapper wa Rangi Rangi
*Ugali


Ikifika Jumatatu jioni nitatoa Menu ya Buffet la Jumanne Mchana........Karibuni muonje mkono wangu, ni exclusive kwa wiki hii tu.

Kila Siku za Alhamisi Machozi Band huwa inapiga Nyumbani Lounge kwa kiingilio cha 10,000/= Alfu kumi tu. Ndani ni raha tele

Jumapili ya tar 10 April 2011.... Nyumbani Lounge inakuletea show maalum ya washindi wa Tuzo ya wimbo Bora Afrika Mashariki.

Lady JayDee na Kidum kutoka Kenya
Kiingilio sh. 30,000/= pamoja na Dinner
Na 20,000/= bila Dinner

Ku reserve Table inaruhusiwa, wahi tiketi mapema kuepuka usumbufu.

Tiketi zitaanza kuuzwa siku ya Jumatano Tar 6 April, zitapatikana Nyumbani Lounge tu.
Ni Siku ya kuonyesha uwezo wa Sauti na kufurahia uzuri wa Nyumbani Lounge

Jumapili Tar 10 April 2011, Lady JayDee Feat: Kidum

Saa 1:00 Jioni show inaanza no longo longo, saa 7:00 usiku show inaisha

Machozi Band na Boda Boda Band


Unakosa vipi sasa hapo???????????


No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive