JAYDEE & KIDUM SHOW "NYUMBANI LOUNGE" JUMAPILI

Baada ya hapo tumeonelea kuwa kila Jumapili Machozi Band itakuwa inapiga Nyumbani Lounge...........
Ila tutaweka meza za kusimama mbele ili watu wacheze
Kwakuwa watu wanakaa saaana wanaangalia tu, inabidi ku move move kiaina au vipi????

Jumapili ijayo karibuni tena

Kidum mzigoni


Boda Boda Band

Asanteni nyote kwa kuja na kuifanya siku yetu iwe special na ya kukumbukwa.
Tunafikiria kuwaletea Fally Ipupa siku za usoni, hapa hapa Nyumbani Lounge

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive