NIMEFIKA MJI WA OSLO, HUKU NIMEKUTANA NA MWENYEJI BIJOUX AMBAE NDIO ATATOA STORY ZA HUKU

Kwakuwa muda tuliofika mji huu ni jioni na kuna maandalizi ya kwenda kwenye shughuli
Tunapita kwanza nyumbani kwa Bijoux kupumzika na kula Pilau wakati kesho ndio tutazunguka kidogo na kuwapa story za mji zaidi

Bijoux Amina Karlson ana nyumba mbili, moja anaiita nyumba kubwa ambayo ndio huiheshimu na kuwapeleka watu wake wa karibu anaowathamini kwakuwa ni maisha yake binafsooo zaidi... Naliheshimu hilo

Na nyumba ndogo ni ya washkaji woooooooote wanaotoka pande zoote
Wakihitaji kula bata nakadhalika wanafikia humo, hata wakihitaji kujihifadhi pia hana neno huwapa hifadhi humo.

BintiMachozi nilianzia nyumba ndogo kupata dodosa kabla ya kuelekea nyumba kubwa
Eeeh Nyumba kubwa nilifika pia, maana Bijoux ananithamini na mimi

Nyumba ndogo ameweka ki Afrika zaidi ili kila anapokuwa humo awe ana feel madhari ya Nyumbani

Nyumba ndogo iko Masaki ya huku
Eneo linaitwa FROGNER

Unadhani umemaliza???????
Hiyo ni Nyumba ndogo ya Bijoux
Picha za Nyumba kubwa baada ya show ya Oslo


No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive