ALBUM YA PICHA ZA SPRING BREAK PARTY STOCKHOLM


Haya Macho sasa!!!!!.
Kuingia tu Club ya Mturuki mlango wa kuingilia jikoni karibu na Counter nikakutana na Jicho tena linaniangalia


Kumbe nilichelewa kweli kujua haya Macho
Saa hizi kila nikiingia sehemu inabidi niwe naangaza ukutani
Ila hili sasa limerembwa, hatari.


Ma Promoter


Ma Flowers

Mwingine nae alikuwa anapiga picha anakata viwiliwili anabakisha vichwa tu








Kwa picha zaidi za shughuli hii tembelea www.stockholmsb.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive