HABARI NJEMA KWA WANAMUZIKI WOTE


Habari njema kwa wasanii wote wa Miziki ya Aina zote Tanzania, Tanzania Online Internet Radio inawapa nafasi ya kutangaza nyimbo zenu popote Duniani Buree kabisa kupitia station namba moja ambayo ni online pekee hakuna Fm wala Frequency ni wakati wenu kutangaza Muziki wa kizazi kipya Dunia nzima karibuni sana nitumie wimbo kupitia Mbeyayetu@yahoo.com karibuni sana. Tumezingatia umuhimu wenu na kazi zenu Sikiliza Radio Live kupitia tovuti yetu juu ya tangazo la Mtandao mmojawapo Tanzania.

Link ya Radio: www.mbeyayetu.blogspot.com

Presenta
Dj Sir Frenje (Fredy Njeje)


No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive