PICHA ZAIDI ZA SHOW YA BERGEN - NORWAY



Story za huyu jamaa Vincent ziliishia Bergen, Kuanzia Oslo story zote zitakazokuwa zinakuja zitakuwa zinatoka kwa Bojoux Amina Karlson

Kulia kwangu mwenye rasta alikuwaga star wa michezo ya kuigiza kwenye TV, Enzi zilee za ITV MAMBO HAYO alikuwa anajulikana kwa jina la Sumbi likuwa na kina Bocha
Sasa yuko mitaa ya huku analiendeleza, ndio alikuwa mpiga drums wakati nafanya show, kushoto ni mpiga Solo




Kulia ni Bjorn mpiga Tarumbeta ni mume wa Dada Chiku, jina lake linaa maanisha DUBU
Jina la Baba yake maana yake Njiwa.. Kwahiyo anaitwa DUBU NJIWA
Ukimshangaa sana anakwambia mbona waswahili kuna wengine wanaitwa Simba pia
Anakibonga ki swaa kama kawa, niko mbioni kufanya nae Collabo yeye atapiga chombo chake tu





Hakuna la ziada, zaidi ya ku enjoy Album hii ya picha
Za Oslo ziko njiani

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive