MOJA YA WENYEJI STOCKHOLM ALIKUWA BI SANDRA.........UKIINGIA TU NDANI KWAKE UNAKUTANA NA JICHO LINAKUANGALIA

Alitualika home kwake kula pilau
Bi Sandra mtoto wa ki Mombasa, kuingia tu mlangoni nikaona lijicho kuuubwa linaangaza
Nikmwambia kumbe na wewe una hili jicho, umelipata wapi??
Akaniambia analo hilo hapo ukutani na ana jingine anatembea nalo kwenye handbag, upo hapo?




Tukaenda shopping na Porojo mbalimbali za hapa na pale



No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive