منتديات عطعوط: xnxx سكس عربى افلام سكس قصص سكس صور سكس جنس عرب محارم 89 sex
SUN LOUNGE
Hii mashine wazungu wanaingizwa humu ndani kisha mtu anafunikwa, Anapikwa mpaka apate ile rangi flani ambayo anaipenda yeye
Binadamu huwa tunatamani kile tusichokuwa nacho, wakati wa Afrika wanajikoboa kuwa weupe wadhungu nao wanataka rangi ya Chocolate
Na hii nadhani ni kwakuwa Nchi za huku hakuna lile jua haswa la kuwachoma mpaka wakaungua wakaipata ile rangi. Kama ambavyo tunawaona wengi wao wakija Afrika wanajianika juani wee mpaka wabadilike Ili kurahisisha mambo wakatengeneza mashine ya jua
No comments:
Post a Comment