LYRICS ZA WIMBO MPYA WA JIDE Feat. Mr.BLUE "Wangu"

Chorus:
Nilisha kuaga na wangu Ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu Akaniacha akaenda x2 Nikabaki nalia na roho Nikabaki nalia na moyo x2

Verse 1:

Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli

Na chuki hudhihirika ikiwamo utapeli
Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli

Na chuki hudhihirika ikiwamo utapeli aaah aaah

Moyo kiza kinene huwezi kujua
Yupi mkweli yupi muongo anaekuzingua

Na moyo giza nene huwezi kujua

Yupi mkweli yupi muongo anaekuzingua aaah


Rudia Chorus:


Yule fedha, huyu mvuto

Vishawishi na tamaa ujana maji ya moto
Huyu mkubwa yule mdogo

Vishawishi na tamaa ujana maji ya moto

Kesha usiku mchana ukiomba dua
Walaghai ni wengi wanataka kiubua

Kesha usiku mchana ukiomba dua

Walaghai ni wengi wanataka kiubua aaah


Rudia Chorus:


Rap:
Mr.Blue

Nilimpa penzi nikamjali kwa maradhi mavazi Na makazi aah
Kumbe mshenzi hana hadhi bure tu nampandisha ngazi

Nikamuweka wazi kwa paparazi

Nikamleta uswazi kwa wazazi

Kumbe sina demu naishi na jambazi mmh

Naziba huku kule pako wazi no!

Sitaki tena kuumia moyo

Sitaki tena unione poyoyo

Sitaki hilo penzi la kichoyo mi sitaki mifupa mi kibogoyo

Nataka vile vitu laini no money no honey nimebaini wee

Kwanini naumia kila saa wakati penzi lako haliendi bila ya chapaa paa


Rudia Chorus:

Wimbo umeandikwa na UDE UDE na BOB JUNIOR

Verse ya Rap Imeandikwa na Mr.BLUE mwenyewe

Producer ni: Bob Junior "Mr.Chocolate Flavor"
Studio ni: SHARO BARO Records


Sing along

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive