Hii ni Publick Park ambayo kila mtu anaruhusiwa kwenda, watalii wengi kutoka nchi mbali mbali wakifika huwa wanatembelea hapa kupata picha na kujua historia ya Park hii
Ni sehemu ambayo watu pia hufanya Picknick, Summer games na ku relax, its the Largest Park in the City
Kinachovuta zaidi ni haya masanamu yaliomo ndani mwa Park hiyo ambayo yote yako uchi hakuna hata moja lililotengenezwa likiwa limesitiriwa, na sababu sijaijua
Kutokana na kila muundo wa sanamu moja, yote yanajielezea ukiyaangalia na unaweza kupata maana tofauti kutokana na hisia au dhana zako
Alie design hizi sanamu ilimchukua miezi 10
Kila sanamu moja lina uzito wa takribani tani mia moja au zaidi
Kila sanamu moja lina uzito wa takribani tani mia moja au zaidi
Pichani juu ni moja ya sanamu maarufu linalojulikana kama The Angry boy.
Park hii kwa mara ya kwanza ilikuwa inamilikiwa na mtu anaitwa Hans Jacop na ndio alieigundua hii sehemu karne ya 18.
Baada ya yeye kufa ilichukuliwa na jamaa mwingine Bernt Anker miaka ya 1746 - 1805
Benjamin Wegner akaichukua 1836 na kui transform kuwa Romantic Park mwaka 1840
Na huo ukawa mwisho wa watu binafsi kuiendesha Park hiyo baada ya kuchukuliwa na Manispaa mwaka 1896 mpaka leo hii ninapo andika ujumbe huu

No comments:
Post a Comment