POLE MZEE GURUMO


Kiongozi wa moja ya bendi kongwe zaidi nchini Msondo Ngoma "Baba Y a Muziki" Muhidin Gurumo amelazwa tena katika hospitali ya taifa Muhimbili kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa mapafu kujaa maji.

Habari zaidi zinasema kuwa hali ya Gurumo bado haijetengamaa hivyo wapenzi wa burudani na watanzania kwa ujumla mnaombwa kuendelea kumuombea dua Maalim Gurumo ili mwenyezi mungu aweze kumponya na tumuone tena jukwaani kusukuma mbele gurudumu la sanaa Tanzania.


No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive