SHUKRANI ZA DHATI KWA WOTE WALIOIWEZESHA SAFARI HII.....

Sehemu zote nilizofikia, Wenyeji wote walionipokea
Hotel zote nilizolala nimeridhishwa nazo
Salamu za shukrani kwa Da Chiku -Bergen
Salaamu za shukrani kwa Hassan Nganzo "Thug Life" -Oslo
Salamu za shukrani kwa Eddie Bukenya -Amsterdam
Salamu za shukrani kwa Freddynice na Sound of Blackness -Stockholm

Salamu za Shukrani kwa Mwamvita Jumbe "MACHO" -Greece
Huko ndio nilikula mpaka nikataka kupasuka mapishi ya Ki Tanga




Salamu za Shukrani kwa Bi Jawa a.k.a Bella Bella kwa kunitengeneza Nywele
Ur the best hair dresser ever

Salamu za Shukrani kwa Sandra
Pilau, Kuku Kachumbari n.k

GOD BLESS YOU ALL

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive