LEO JUMATANO... BUFFET LA NYUMBANI LOUNGE




Asante wote mliohudhuria na kupenda ladha ya mkono wa Jide katika mapishi ya wiki hii Exclusivity hii itaishia ijumaa na ilianza tangu Jumatatu Leo kwenye Buffet kutakuwa na Pancakes
Kutakuwa na Pilau
Ugali ni kila siku hata leo pia

Patakuwepo na Nyama Teja
Kuku wa Kienyeji wa Mchuzi "Rojo Zito"
Spinach

Supu ya Siku
Kachumbari

Pililipi ya kupikwa
Na pilipili fresh

Bila kusahau Matunda na Ice Cream baada ya Mlo




Baada ya Lunch mrudi ma ofisini halafu baadae tukutane kwenye Match ya Manchester United na Chelsea, au muage kabisa kwakuwa kesho ni sikukuu
Muziki utapigwa mpaka late lakini sio Asubuhi

Karibuni Nyumbani Lounge
82 Ada Estate, Tranic Plaza Kinondoni Dar es Salaam
Karibia na Best Bite

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive