JIDE WA KUCHORA

Hivi kweli hii picha inafanana na mimi?

Huyu Babu ndio alinichora

Hebu jaribu kufananisha kwa ukaribu kama picha na mimi wa ukweli vinashabihiana au Babu kala hela yangu ya bure!!

Kuchora ni DK.5 Unalipa Euro 10 unakaa hapo anakuangalia kila wakati anakwambia
Smile, Smile, Smile nadhani hilo ndio neno pekee analolijua la Kidhungu


No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive