MATEJA NORWAY HUTUNZWA NA SERIKALI YAO


Mateja wengi wa unga nchini humu, wanakutana kwenye Train Statition
Na gari la Serikali ya Norway huwa linapita kila siku jioni kuwagaia unga wa kubwia
Wameamua kuwa wanawapa haki ya wanachokipenda kama binadamu
Huku kila binadamu anapewa haki, mpaka kuna haki ya mateja!!! Hii hatari

Hawa walishaga enda rehab wakashindikana wakarudi barabarani
Kwahiyo wanaonyesha ID zao wanagawiwa dozi yao ya siku
Vipi yale mateja ya Kino yangekuwa yanapewa na serikali ya Tanzania unga kila jioni
Kuwa ni haki yao ya msingi, basi na Alcohol igaiwe kwa Alcoholic wote duniani
Si ingekuwa ni balaa

Pangetosha?????
Maana asilimia 95 ya watu duniani inawezekana kuwa ni walevi


Sidhani kama Viwanda vya bia vingepata faida maana kila mtu angejifanya teja wa pombe ili anywe bure

Huyu anazunguka zunguka tu, mara ajirushe katikati ya barabara ya Train watu wamuokoe
Maisha haya jamani .... Duuuh!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive