MOVIE MPYA IKO NJIANI YAJA - HUMO NDANI KUNA WEMA SEPETU

Baadhi ya Vipande vya kwenye sinema hiyo vimeshutiwa Nyumbani Lounge




Yatakuwemo haya mnayoyaona

Kwa wageni ambao hawajawahi kufika Tranic Plaza, ukiingia tu mkono wako wa kushoto nje kuna viti Vyeupe ndio Nyumbani Lounge
Ukikaa kwenye viti vya rangi nyingine tu nje ujue sio Nyumbani hapo.

Nyeupe ndio ishara ya usafi
KARIBUNI NYUMBANI

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive