NYUMBA KUBWA KWA BIJOUX "OSLO" - NORWAY

Baada ya kuwaonyesha baadhi ya picha za eneo la Nyumba ndogo ya Bijoux Mbavu Karlson
Hii ni nyumba nyingine anamoishi mrembo huyo ambayo anaiita nyumba kubwa
Humu ndio anaishi na mzee na anaiheshimu sana na si kila mtu anaingia kiholela


Hizi ngazi ni za kupanda kuelekea kwenye chumba cha kupumzikia juu

Ukiingia tu mlangoni kwa mkono wa kulia unakutana na mtutu wa Bunduki, nadhani bibie huwa anawinda lol!

Sehemu ya kupunguzia stress

Sehemu ya kulia chakula

Jiko la kukorofishia mambo

Ukuta wa Ki Afrika ambao mapambo yote ni ya asili ya kwetu
Mdharau kwao mtumwa

Huko juu mbali na kitanda cha kupumzika kuna makochi pamoja na Tv

Jitanda ndio hiloooo kama linavyoonekana kwenye picha
Nyumba yenyewe safi kinoma







Je! Kuna Mwenye swali??
Tukala pilau tukapiga mastory tukabanjuka.
Alikuwepo Bw.Hassan Nganzo a.k.a Thug Life na DJ Humphrey

Kama kuna mtu pia ana picha za nyumbani kwake na angependa ku share na watu anakaribishwa.
Kama kuna aliechukizwa basi ataniwia radhi hii nimeweka kwa mapenzi mema tu nikidhani kuna baadhi watafurahi kuona mambo tofauti ya watu tofauti

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive