Alitualika home kwake kula pilau
Bi Sandra mtoto wa ki Mombasa, kuingia tu mlangoni nikaona lijicho kuuubwa linaangaza
Nikmwambia kumbe na wewe una hili jicho, umelipata wapi??
Akaniambia analo hilo hapo ukutani na ana jingine anatembea nalo kwenye handbag, upo hapo?

No comments:
Post a Comment