Jennifer Beals was born December 19, 1963 in Chicago. She is most famous for playing the role of Alex a welder/night club dancer in Flashdance. Most people probably identify her image in Flashdance during the scene when she was warming up for dance practice to the song "Maniac".
Jennifer Beals as Alex in Flashdance 1983
Beals got her acting start when she landed a small part in My Bodyguard
ALBUM YA PICHA ZA SPRING BREAK PARTY STOCKHOLM
Haya Macho sasa!!!!!.
Kuingia tu Club ya Mturuki mlango wa kuingilia jikoni karibu na Counter nikakutana na Jicho tena linaniangalia
Kumbe nilichelewa kweli kujua haya Macho
Saa hizi kila nikiingia sehemu inabidi niwe naangaza ukutani
Ila hili sasa limerembwa, hatari.

Kwa picha zaidi za shughuli hii tembelea www.stockholmsb.blogspot.com
SHUKRANI ZA DHATI KWA WOTE WALIOIWEZESHA SAFARI HII.....
Sehemu zote nilizofikia, Wenyeji wote walionipokea
Hotel zote nilizolala nimeridhishwa nazo
Salamu za shukrani kwa Da Chiku -Bergen
Salaamu za shukrani kwa Hassan Nganzo "Thug Life" -Oslo
Salamu za shukrani kwa Eddie Bukenya -Amsterdam
Salamu za shukrani kwa Freddynice na Sound of Blackness -Stockholm
Salamu za Shukrani kwa Mwamvita Jumbe "MACHO" -Greece
Huko ndio nilikula mpaka nikataka kupasuka mapishi ya Ki Tanga

Salamu za Shukrani kwa Bi Jawa a.k.a Bella Bella kwa kunitengeneza Nywele
Ur the best hair dresser ever
Ur the best hair dresser ever
MOJA YA WENYEJI STOCKHOLM ALIKUWA BI SANDRA.........UKIINGIA TU NDANI KWAKE UNAKUTANA NA JICHO LINAKUANGALIA
Alitualika home kwake kula pilau
Bi Sandra mtoto wa ki Mombasa, kuingia tu mlangoni nikaona lijicho kuuubwa linaangaza
Nikmwambia kumbe na wewe una hili jicho, umelipata wapi??
Akaniambia analo hilo hapo ukutani na ana jingine anatembea nalo kwenye handbag, upo hapo?

HII NAYO NI KAZI KAMA KAZI ZINGINE
Hicho kikapu hapo mbele ni cha makusanyo ya mapato yote
Ukipiga picha ukisimama kuangalia lazima umwage Coin
Akivua hizo nguo kama jini akafuta na uso ukakutana nae Pub utamjua kama anasimama barabarani??
Unaweza ukasema tu, I DO
Ukipiga picha ukisimama kuangalia lazima umwage Coin
Akivua hizo nguo kama jini akafuta na uso ukakutana nae Pub utamjua kama anasimama barabarani??
Unaweza ukasema tu, I DO
IMANI YA JICHO
Keyholders, Vidani na vitu vingine vidogo vidogo vinaonekana kama mapambo
Lakini kwa Geece vina maana yake
Kama utaangalia vizuri katika picha ya hivyo vikoro koro kuna duara ambalo linaashiria picha ya Jicho
Lakini kwa Geece vina maana yake
Kama utaangalia vizuri katika picha ya hivyo vikoro koro kuna duara ambalo linaashiria picha ya Jicho
Unaweza kuwekea funguo za Nyumba au funguo za gari, Unaweza ukatundika ndani kwako au sehemu yoyote unayohisi vijicho huwa wanapitapita
Au unaweza kuvaa shingoni pia
Au unaweza kuvaa shingoni pia
Hivi vitu huwa wanavaa kwa imani kuwa ni protection
Inawalinda na Macho mabaya ya husda za watu
Kila duka au sehemu yoyote ya biashara ukiingia unakuta wameweka huyu mlinzi
Wengine wanaunga Vitunguu Thaumu mlangoni wananing'iniza
Inawalinda na Macho mabaya ya husda za watu
Kila duka au sehemu yoyote ya biashara ukiingia unakuta wameweka huyu mlinzi
Wengine wanaunga Vitunguu Thaumu mlangoni wananing'iniza
Ukiwa na Imani inakusaidia kukulinda na Wao Wagiriki wanaamini hivyo
Nimevinunua vitano, moja wapo ikiwa ni kidani cha shingoni nitakuwa navaa kujikinga na macho ya husda nione kama itafanya kazi
Vingine nitawagaia watu wa karibu ninaowapenda nao wajikinge na macho mabaya
Unaweza kuwa mmoja wao wa kupata hiyo zawadi usicheze mbali na mimi
Nikirudi nitakuwa naangalia nani anafaa kupewa pale Nyumbani Lounge
Hebu fikiria hilo jicho hapo juu kwenye picha likakutana na jicho baya
JICHO KWA JICHO
Hapa yanakuwa yanapambana yenyewe kwa yenyewe
Wewe umetulia tu

JIDE WA KUCHORA
Hebu jaribu kufananisha kwa ukaribu kama picha na mimi wa ukweli vinashabihiana au Babu kala hela yangu ya bure!!
Kuchora ni DK.5 Unalipa Euro 10 unakaa hapo anakuangalia kila wakati anakwambia
Smile, Smile, Smile nadhani hilo ndio neno pekee analolijua la Kidhungu
Smile, Smile, Smile nadhani hilo ndio neno pekee analolijua la Kidhungu
Subscribe to:
Posts (Atom)
Popular Posts
-
Well, it's been almost a month ago, but I wanted to share a bit of our time our for Keeley's birthday. She turned 9 back in Novembe...
-
We talked to you a few weeks ago about a great new service we've been using for a while ... called Swagbucks. It's a site that rewa...
-
I know it's Christmas Eve, and all, so I should be talking about Christmas-y things, but I wanted to share this little glimpse into our ...
-
Hello, I'm not sure if you caught my previous post about teaching? If not - you can check out my teaching dream here. Anyhow... I w...
-
MSANII mahiri na mwandishi wa script katika filamu nchini Tanzania Susan Lewis aka Natasha kwa sasa ni mtangazaji katika Redio Uhuru, a...
-
As we explained a little while ago ... we were able to pick up some SUPER cheap visits to Disney's Orlando locations by donating a day o...
-
Hi, this is Al - instead of Christy. I just wanted to let everyone know that, unfortunately, you'll have to hear from me as well as Chri...
-
On our visit to Oregon we discovered the Wii rockstar style game. This was the first time I had seen it, or knew of anyone who had it. So ...
-
Today is my husband's Birthday. He is the big 40. I'm not sure he's all that happy about it, but hey what can you do. Time ma...
-
Today my 13 year old was invited to go see the new Alice In Wonderland for a birthday party. I have to be honest and say that I am not a fa...

Followers
Search This Blog
Blog Archive
-
▼
2011
(597)
-
▼
April
(79)
- Jennifer Beals who played Alex from the film Flash...
- ALBUM YA PICHA ZA SPRING BREAK PARTY STOCKHOLM
- SHUKRANI ZA DHATI KWA WOTE WALIOIWEZESHA SAFARI HI...
- MOJA YA WENYEJI STOCKHOLM ALIKUWA BI SANDRA..........
- STOCKHOLM - SWEDEN "DAY 2"
- HII NAYO NI KAZI KAMA KAZI ZINGINE
- IMANI YA JICHO
- JIDE WA KUCHORA
- NIMEFIKA STOCKHOLM - SWEDEN
- ASKARI WANAOSIMAMA MBELE YA BUNGE LA GREECE NI VIV...
- LYRICS ZA WIMBO MPYA WA JIDE Feat. Mr.BLUE "Wangu"
- KITAA - ATHENS "GREECE"
- STORY YA NILIOYAKUTA HUKU GREECE KWA KIFUPI..........
- KITENDO KILICHONITOKEA AIRPORT YA MUNICH - GERMAN ...
- SUN LOUNGE
- UKARIMU WA WATANZANIA WAISHIO ATHENS - UGIRIKI
- NYUMBA KUBWA KWA BIJOUX "OSLO" - NORWAY
- Toby Mac comes to Lakeland, FL
- Phoebe Cates who played Linda Barrett in Fast Time...
- SONG OF THE DAY - HAPPY EASTER MA PIPO
- AMSTERDAM - HOLLAND
- KWENYE TRAIN STATION MOJA HIVI KUNA MANENO YA SILV...
- SOMEWHERE IN OSLO - NORWAY
- FROGNER PARK
- NIMEFIKA MJI WA OSLO, HUKU NIMEKUTANA NA MWENYEJI ...
- PICHA ZAIDI ZA SHOW YA BERGEN - NORWAY
- MATEJA NORWAY HUTUNZWA NA SERIKALI YAO
- HUYU ANAITWA DADA CHIKU NI MEYA WA JIJI LA BERGEN
- PICHA ZIKO MIA NA ZAIDI NIKIPATA NGUVU NITA POST Z...
- KUFIKA HUKU MILIMANI JUU UNAPANDA KWA TRAIN, HALAF...
- KILA SEHEMU KUNA VYOO VYA KULIPIA
- SAFARI YA BINTIMACHOZI UGHAIBUNI
- STAR WA MOVIE ZA KI NIGERIA ALIFIKA KUPATA DINNER ...
- BIRTHDAY YA MSHKAJI FLANI HIVI TAR 19 APRIL 2011
- MOVIE MPYA IKO NJIANI YAJA - HUMO NDANI KUNA WEMA ...
- ALHAMISI FLANI HIVI AMBAPO WAYRE ALIPANDA JUKWAA L...
- MJI WA TANGA NI MSAFI KULIKO DAR
- Ralph Macchio who played Daniel Larusso in The Kar...
- KIVULI
- WAYRE & MACHOZI BAND "CHUKI" LIVE NDANI YA NYUMBAN...
- EXCITING PARTNERSHIP ANNOUNCED AS M-NET AND COCA C...
- KITU KIPYA KINACHOFANYA MIDA YA USIKU MWINGI AU HA...
- UJUMBE NILIOAGIZWA KUWAFIKISHIA NI HUU KUENDANA NA...
- PICHA ZA WATANZANIA 64 WALIOHITIMU MASOMO YAO - AK...
- YEAR OF THE GENTLEMAN - SHERIA NGOWI
- IBM - NAIROBI
- LINGERIE COLLECTIVE WITH F.VODKA HOSTED AT MINT LE...
- NAFASI ZA MAFUNZO NA KAZI
- JAYDEE & KIDUM SHOW "NYUMBANI LOUNGE" JUMAPILI
- CUTHBERT ALISHEREHEKEA MIAKA KADHAA TANGU KUZALIWA...
- SMIRNOF SATURDAY SHAKE DOWN
- KWANINI TUNAPENDA CHIPS????????????
- STYLE MOTO MOTO
- HABARI NJEMA KWA WANAMUZIKI WOTE
- LEO JUMATANO... BUFFET LA NYUMBANI LOUNGE
- Hii Inaitwa SALIMIA........Ukifika Kabla ya kuiagi...
- KITU LIVE
- PICHA TU
- OSHA MACHO NA EMIRATES COUNTER
- DAR SECONDARY SCHOOL CUP COMING SOON
- HITMA YA KUWAOMBEA FIVE STARS
- Time to create!!
- LUNCH INAYOPATIKANA JUMATATU YA LEO NYUMBANI LOUNG...
- RATIBA YA YATAKAYO JIRI WIKI HII NYUMBANI LOUNGE -...
- VIFAA VYA STUDIO VINAUZWA
- NAIBU WAZIRI ATEMBELEA MAONYESHO YA HARUSI DIAMOND...
- ZERO 2 TWELVE BABY STORE
- PARTY YA KILA MWAKA YA WADAU MBALIMBALI WANAOFANYA...
- BAADHI YA PICHA WAKATI WA UTENGENEZWAJI WA VIDEO M...
- NATASHA AWA MTANGAZAJI
- SATURDAY SHAKE DOWN NA DJ STEVE B, NYUMBANI LOUNGE
- NIMEPATA HASARA YA MILIONI 15
- BOSI AMCHOMA HOUSEGAL WAKE NA PASI... KISA??? ALIM...
- POLE MZEE GURUMO
- IS THIS TRUE?????????
- DEAR SALARY
- ITS ON
- TANZANIA FIRST ONE & ONLY WEDDING MAGAZINE
- Some Common Ground at Common Grounds Park in Lakel...
-
▼
April
(79)