USIPATE TABU KUFIKIRIA LUNCH UTAKULA WAPI JUMATATU.....

Ni kweli kabisa kuwa hata vya hivi huwa tuna serve, Jaribu, hutajutia.Jumatatu NYUMBANI lOUNGE kwenye Buffet la Mchana kutakuwa na: Supu ya Beef Cubes
Ugali wa Muhogo

Wali wa Nyanya

Nyama ya Ng'ombe "Kidali"

Chicken Peri-peri "Kuna Option ya kutokuwa na Pilipili pia"

Samaki wa Mchuzi wa nazi

Kisamvu

Maharage

Fruit Salady

na Pilipili ya Kupikwa

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive