DEEP SEA - TANGA


Sehemu ya kuchuuza samaki

Kwa hali hii nadhani shule zitakuwa zimefungwa mwezi huu wa saba labda ndio wakaja kwenye kibarua cha muda...Eti??

Au inawezekana pia kuwa ndio maisha yao ya kila siku na hawaendi shule???
Sina hakika sana kuhusiana na hilo





Utakutana nao Nyumbani Lounge kwenye buffet

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive