SHEREHE YA MAMA WA KICHAGA

Ukija kufanya shughuli yako Nyumbani Lounge kuna Package ya keki pia
Unasema unataka utengenezeweje sisi tunampigia Master wa hii shughuli
Bi. Maggie anakushushia mzigo unaoendana na hafla yako


Story ilianza hivi, Mamaa anapenda sana Makange na Ndizi Tamu akaambiwa leo twende mahali kuna makange tukakununulie kukupongeza kwa siku ya kuzaliwa
Hakujua kama atakutana na haya mama wa watu nusu ajiangukie


Kuingia akakuta watoto na wajukuu wamejaaa ndani wamesimama wakimngoja, wakamlaki kwa wimbo wa Happy Birthday to you 65, is not a joke!!!
Hongera MAMA TEMU


Last born na deko kwa mama


Ba Mwenye Nyumba


Dokezo: Ni Nywele za kweli sio za Kununua


Dada wa kati

Watoto wa kambo nao tumo ndani chezea mnuso??


Shughuli ni watu lakini chakula pia kinahusika kwenye shughuli ya ukweli
Ma Binti za Temu


Mjukuu.... Zao la Hoyce Temu "Former Miss Tanzania"
Miss huyu mtarajiwa anaitwa Ruby

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive