KUEPUKA ADHA YA UMEME VIJANA WALIAMUA KUTEMBELEA MOUNT ULUGURU KUJILIWAZA NA KUPUNGUZA JOTO

Achievers Club waliamua tu iwe Adventuretupo mbioni kufungua kila chuo hapa tanzania kwanza achievers club,vision yetu ni "unleash individual potential"
nini tunafanya ni
- seminar ya capacity building kwa watu
-networking
-business project za kuwaingizia wanafunzi wa chuo fedha,mpaka 2015 tunaplan ya kila chuo kiwe na kampuni za wanafunzi,pia wanafunzi wawe share holder
-kufanya mafuzo ya uwezeshaji practically ya jinsi ya kuanziasha na kuendesha makampuni mavyuoni ili kuwawezesha member wakitoka hapo waanzishe kampuni zao
-Reading books programs,motivational book atleast one book kwa wiki mbili,tunaaamini knowledge ni kitu chenye nguvu sana ili kubadilisha maisha ya mtu
Namba yangu ya simu ni:0717109362 email deogratiuskilawe@yahoo.com

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive