Humo kwenye wino mweusi ni baadhi ya nyama zisizotakiwa
Unaweza kupumzika kwa wiki moja kwanza ila usijilie saaaana kula kwa wastani tu
Halafu uendelee tena kwa mwezi mwingine.
Ila mwezi wa pili mazoezi yawe ni mara 3 tu kwa wiki sio kila siku
Ila kama unaanza mwezi wa kwanza ili ufanikiwe kwa haraka mazoezi inabidi iwe daily.
Kama mkipenda niendelee kuweka mwezi wa pili nitakapo anza mnifahamishe kwa wanaohitaji ili tuweze kwenda pamoja.
Kama mmetoshekwa na mwezi mmoja pia haina shaka.
Mnaweza kuniandikia e-mail kama kuna swali judyjaydee@yahoo.com
KWA WANAO ANZA KITU MUHIMU CHA KUZINGATIA NI KUPUNGUZA POTION YA CHAKULA NA KUNYWA MAJI MOTO KWENYE KILA MLO BILA KU CHEAT

No comments:
Post a Comment