Diet "DAY 19" Bado siku 11, ukishamaliza unaweza kuendelea kuishi hivyo kama utaweza ila ku Cheat Imo



Ukifatilia haya mazoeze na hii diet mwisho wa siku unaweza kuwa na mwili mzuri kama huu

Hata kama ulikuwa mnene kiasi au sana

Discipline ya chakula na mazoezi ndio jambo la msingi



Watu wengine kweli wamezaliwa hivi ila unaweza ukajitengeneza na wewe tu ukapata mwili unaoutaka, sio lazima uwe kabisa kama hivi ila unaweza ukakaribia



Haya, siku ya 20 !

Asubuhi unaweza kukimbia saa 1 nzima

Ukafanya sit ups 70 -75 tunaenda tunapanda inabidi kufikisha 100 by siku ya 30



Maji moto glass 4



BREAKFAST:

1 Cup of Tea/ Coffee "kijiko 1 cha sukari"

1 Boiled sausage

1 Boiled egg

1 Glass of milk

1 Toasted brown bread

1 Big apple







Mchana maji moto glass 4



LUNCH:

2 Fish mishkaki na matunda kwa wingi sana



Jioni unakimbia saa 1 nzima

Kisha unakunywa maji moto glass 4



DINNER:

Steak robo kilo ichomwe unaweza kuweka sauce yoyote unayotaka kuongezea ladha

Jazia na salad kisha ulale



Unaweza kunywa glass 1 -2 red wine ukipenda





No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive