Diet "DAY 21"





Asubuhi kimbia saa 1 nzima, ruka kamba dakika 15, fanya sit ups 70-75

Kunywa maji moto glass 4



BREAKFAST:

1 Cup of Coffee/ Tea

1 Fried egg

1 Toasted bread

1 Glass of Orange juice



Mchana kunywa maji moto glass 4



LUNCH:

Vegetable pasta na fruits



Jioni kimbia saa 1, ruka kamba dakika 15, sit ups 70-75

Maji moto glass 4



DINNER:

Samaki au Kuku nusu wa kuchemsha na ndizi tamu 3 za kuchemsha usiweke nazi yoo







No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive