Asubuhi ukiamka kimbia saa 1 nzima
Ukirudi ruka kamba kwa dakika 15
Sit-ups 70 -75
Maji moto glass 4
BREAKFAST
1 Cup of Tea/Coffee
Corn Flakes
Fruits kibao
1 Cup of Tea/Coffee
Corn Flakes
Fruits kibao
Mchana maji moto glass 4
LUNCH:
Robo kuku wa kuchomwa, Rice na Vegetables
Jioni kimbia saa 1, ruka kamba dakika 15, fanya sit ups 70-75
Kunywa maji moto glass 4
DINNER:
Mishkaki 3 ya beef na ndizi za kuchemsha za bukoba plus Salad
Robo kuku wa kuchomwa, Rice na Vegetables
Jioni kimbia saa 1, ruka kamba dakika 15, fanya sit ups 70-75
Kunywa maji moto glass 4
DINNER:
Mishkaki 3 ya beef na ndizi za kuchemsha za bukoba plus Salad
No comments:
Post a Comment