MPIGANAJI KHADIJA MWANAMBOKA



MWENYEKITI WA TANZANIA MITINDO HOUSE KHADIJA MWANAMBOKA KATIKA STUDIO ZA VOICE OF AMERICA , AKIHOJIWA NA MTANGAZAJI SUNDAY SHOMARI KUHUSU ONYESHO LA MAVAZI LINALO FANYIKA KESHO HUKO WASHINGTON DC KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA
SHEREHE HIZO ZINAAMBATANA NA KONGAMANO LA DICOTA 2011

ALIWATAJA WABUNIFU AMBAO KAZI ZAO ZITAONYESHWA KATIKA TUKIO HILO LA KIHISTORIA NI FARHA SULTAN,ZAMDA GEORGE,GABRIEL MOLLEL,BINTI AFRIKA,JAMILA SWAI, MUSTAFA HASSANALI PAMOJA NA YEYE MWENYEWE,KHADIJA MWANAMBOKA

ONYESHO LA MAVAZI LITAFUNGULIWA NA BALOZI WA TANZANIA MITINDO HOUSE MWANAMITINDO FLAVIANA MATATA


www.mitindohouse.org
www.tmhmitindo.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive