MAHAFALI YA SEKONDARI YA DOMA - MVOMERO

Mbunge wa Jimbo la Mvomero Amos Makalla ( kulia) akimkabidhi vitabu 400 vyenya thamani ya sh: milioni tatu vya mitaala ya masomo mbalimbali ya Sekondari vikiwemo vya sayansi , Kiingereza , kiswahili , fasihi ya kiswahili na hesabu kwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Doma iliyopo Wilayani Mvomero , Mkoa wa Morogoro , John Makarius , kwa ajili ya matumizi ya wanafunzi na kuondoa tatizo ya ukosefu wa vitabu, wakati wa mahafali ya pili ya kidato cha nne yaliyofanyika Septemba 21, mwaka huu Shuleni hapo.


Mbunge wa Jimbo la Mvomero Amos Makalla ( kulia) akimkabidhi cheti mmoja wa wahitimu wa elimu ya kidato cha nne katika shula ya Sekondari ya Doma iliyopo Wilayani humo , Mkoa wa Morogoro , ambaye pia anatarajia kufanya mtihani wake Oktoba mwaka huu , wakati wa mahafali ya pili ya kidato cha nne yaliyofanyika Septemba 21, mwaka huu Shuleni hapo.

Picha ya pamoja

Zawadi tele

Wahitimu watarajiwa wa kidato cha nne wa shule ya Sekondari Doma, Wilaya ya Mvomero, Mkoa wa Morogoro, wakiimba nyimbo za kuwaaga wanafunzi wenzao, walimu , wazazi pamoja na mgeni rami ,Mbunge wa Jimbo la Mvomero Amos Makalla ( hayupo pichani) wakati wa mahafali ya pili ya kidato cha nne yaliyofanyika Septemba 21, mwaka huu, Shuleni hapo.

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive