Diet "DAY 18"

Asubuhi kukimbia saa 1

Sit ups 60 -65

Maji moto glass 4



Breakfast:

Yai 1 la kuchemsha

1 toasted brown bread

1 boiled sausage of ur choice "kasoro pork"



Maji moto glass 4 mchana



Lunch:

Ugali, Mboga mboga, Maharage na kuku robo.

Au unaweza kula mapaja mawili tu ya kuku ikawa imetosha

Jioni kimbia tena saa 1, fanya sit ups 60-65

Maji moto glass 4



Dinner:

Supu ya Samaki aina yoyote ile "napendelea sato"



Unaweza kutupia kiazi kisizidi kimoja





No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive