Hii ni baada ya Tiba ya Jino




Kuanzia week end inayokuja
Nyumbani Lounge ina introduce hii kitu, patakuwepo na Sausage choma za BEEF na za CHICKEN mfanye kupita msikilizie ladha, na kuna sauce maalum itakayokuwa inapakwa juu ya sausage zikiisha iva, sio utamu ni balaa

Fanya tabasamu nene tuone
Naji spoil kwanza kabla ya kuendelea na ratiba ya kata tumbo

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive