Diet "DAY 27,28, 29 na 30

Siku zote 4 hazina tofauti sana kwa mlo wa asubuhi na Mchana, tofauti iko kidogo tu kwenye mlo wa usiku.

Siku zote hizi nne usifanye mazoezi yoyote. na Diet itakapo isha siku ya 30
Unaweza kuendelea kuishi mfumo huu wa maisha hadi hapo utakaporidhika kuwa umepungua kwa kiasi unachotaka wewe.
Ila ukiamua kuendelea na mzunguko huu mwezi wa pili hushauriwi kufanya mazoezi kila siku.

Kwakuwa mazoezi kupita kiasi yanasababisha madhara ya moyo
Utatakiwa kufanya mazoezi mara 2 au 3 tu kwa wiki.

BREAKFAST:
Katika siku zote hizi 4, asubuhi utatakiwa kunywa kikombe 1 tu cha kahawa au chai
Matunda mengi sana ya kutosha

LUNCH:
Katika siku hizi zote 4 utatakiwa kula mboga za majani, salad na maji kwa wingi nyakati za mchana

SIKU YA 27:
Dinner inatakiwa kuwa Supu ya Samaki aina yoyote ile
Slice 2 za Toasted Bread na glass 1 ya juice ya aina yoyote

SIKU YA 28:
Dinner inatakiwa kuwa Supu ya Vegetables na glass 1 ya juice


SIKU YA 29:
Dinner inatakiwa kuwa Supu ya kuku na Chapati moja
Pia glass 1 ya juice fresh

SIKU YA 30:
Dinner inatakiwa kuwa Supu ya Beef, Mkate na Glass ya juice
Kila kheri, baada ya kumaliza hii napenda kuwataarifu kuwa nina six pack na tumbo langu lote liko flat kabisa, na habari njema zaidi ni kuwa silagi nyama nyekundu
Ukiweza kuacha red meat pia itakuwa salama zaidi, ila nimeweka nyama nyekundu kwa ajili ya watu wengine wanaopenda.

Ningeweza kuweka picha ila hayooooo maneno!!!! shoooooooooo
Mtanisamehe kwa hilo, siku nikipata ujasiri nitaonyesha my flat stomach

Labda end of September, ngoja nikusanye nguvu kwanza


Good luck, na nikipata kingine kizuri zaidi tuta share

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive