Napenda kuwataarifu wale wote wanaofuatilia mlolongo wa mlo na mazoezi kupitia blog hii kuwa tutaendelea mwezi wa pili mpaka kieleweke.
Nimepokea e mail mbalimbali zikiomba kutumiwa diet yote ya mwezi mzima
Ila kuondoa usumbufu nitakuwa na post ya siku 5 kwa mara moja ili muweze ku print kabisa na kuendelea nayo, baada ya siku kadhaa tena na toa ya siku 5 mfululizo.
Kwa wenye nia natumaini mtafatilia, mniwie radhi sitaweza kumtumia kila mtu mmoja mmoja kwenye e-mail yake....
Na tukutane Jumatatu basi ya tar 26 Septembre kwa awamu ya pili
No comments:
Post a Comment