BLIND TIGERS.




BLIND TIGER TO SERVE (BEER) COCKTAILS AT THE KILIMANJARO BEER FEST THIS WEEKEND!!

Ever tried a beer cocktail??? You'd be suprised!! Come and try the world's most humble beverage in a truely innovative fashion at the very first Oktoberfest to hit Tanzania this weekend!

However, fear not - Blind Tiger will also be serving fruity frozen cocktails, cooling classics and other heavenly delights to offset the beer blitz that will be the Kilimanjaro Beer Fest, and provide a more refined drinking experience for those less inclined towards the amber brew! The Blind Tiger menu would of course be incomplete without tasty mocktails, exciting shooters, and an array of Bacardi Breezer flavours!

Come and find the Blind Tiger tent, from 10am this Saturday the 1st of October to late on Sunday 2nd October at Leaders' Club, Kinondoni.

Karibuni sana!


-- KIRSTY MACDONALD
CO-FOUNDER & DIRECTOR
BLIND TIGER COCKTAILS & ENTERTAINMENT

T: +255 683 326270 / +255 717 326270
E: kmacdonald@blindtiger.co.tz
W: http://www.blindtiger.co.tz/


Chachi from Happy Days played by Scott Baio

Scott Baio was born September 22, 1960 in Brooklyn, New York.  He is well known for playing the role of Chachi Arcola, "The Fonz's" cousin in the TV show Happy Days.  He is also famous for the role of Charles in the TV show Charles In Charge.




Scott Baio then

Baio's film debut was a big one.  In 1976, he landed the lead role in the cult musical Bugsy Malone.  He co-starred with Jodie Foster

SHEAR CHARITY BALL: PRE-BALL DANCE CLASS @ Nyumbani Lounge


Vinywaji vitatolewa bure kwa watu 100 wa kwanza.

Tusker Malt Lager

“Unywaji wa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako. Haiuzwi kwa walio chini ya umri wa miaka 18”


B'DAY YA MARYAM Nyumbani Lounge

Sijui hata ilikuwa lini maskini ya Mungu hii b'day?
Anyways Happy Belated b'day Maryam

Manake nilifanya kubembeleza nitumiwe hizi picha utafikiri naomba kazi Ikulu


My Chef, Agustino "One of the Best"


Flower za Nyumbani Lounge, haka ka uniform katakuwa kapya mwenyewe ndio kwanza nakaona



Karibuni Nyumbani Lounge Jameni
Mnakosa mambo mazuri kama hamjawahi fika

Siku Nyingine ndani ya Nyumbani Lounge






Watoto wanawaka si mchezo

Mpaka sasa bado show za MACHOZI BAND ni mara mbili kwa wiki hakuna mabadiliko, Ni Ijumaa na Jumapili, ikitokea ya nyongeza tutawajulisha.
Ukizingatia maelezo ya nyuma pia utaelewa zaidi

INTERVIEW BAINA YA FID Q NA MZUNGU KICHAA ILIFANYIKIA NYUMBANI LOUNGE KATIKA MOJAWAPO YA SIKU




SALAAM TOKA NYUMBANI LOUNGE SIKU MBALI MBALI











Good Pipo, Good Music, Nice Place

KAMA ULIFATISHA DIET MWEZI WA KWANZA.... UKAFATISHA NA HII YA MWEZI WA PILI IPASAVYO....Unaweza kuwa karibia au kufikia hapa.

Baada ya kumaliza mwezi wa pili mimi na hakika nitakuwa na tumbo kama hili.

Maumbile tunatofautiana kuna wenye maumbo makubwa zaidi ila nahakika pia mtakuwa mmepungua kwa kiwango mnachopenda kuwa kwa vile kila mtu ana malengo tofauti.

Focus zaidi iko kwenye tumbo na sio sehemu zingine za mwili

IANGALIE NA HII


http://www.africantrails.com/index.php/about1/

About Us

photoframes-dance.jpgAfrican Trails is a local safari company that is renowned for its personalized services. One of the reasons why you should choose to travel with us is that, the care and the attention extended to you will go a long way to give you value for your money.

We specilize in programs offering comfortable lodges set on scenic sites and permanent Tented Camps for those who prefer luxury. We can also accommodate camping safaris for individuals and groups.

While on safaris, we use special 4 x 4 vehicles, Land Rovers or Land Cruisers. The Driver Guides are charming, experienced, knowledgeable and caring.... combined with their leadership qualities and enthusiasm for work, we will provide you with an unforgettable safari. Having said this, I invite you to travel with us and experience the most rewarding and memorable adventure in Tanzania. Here are some few facts of our operations:

Can I book through a Travel agent?
Yes, you can. We don't deal with every Travel Agent but most Travel Agents can book with us.

Why African Trails?
We are competent enough to be respected as a premier safari company in East Africa and still small enough to care about each of our travellers/clients

No middleman (We have complete control ....... an asset that sets us apart)

Exclusively Tanzanian

More than 10 years Experience

Ground Safari Experts for groups from Europe, America and Africa

Great Value

Commitment to Tanzania

Typical Tanzanian Guides

Any tour operator can get you to Africa and provide you with a guide........... but African Trails Limited foot steps are there. Our commitment to Tanzania and local network guarantees that you will be well handled.

Why Tanzania?
We are passionate with our country and it is our privellage to introduce you to this beautiful place with:

More National Parks than any other African country.

Unrivaled wildlife concentration.

Over 120 unique Tribal cultures unified by Kiswahili as a National language; that are friendly and welcoming

Politically safe and stable.

Comfortable weather and great year-round wildlife viewing.

Safari Fleets
The safari vehicles that we use are top notch, the logistical planning is picture perfect and our friendly and knowledgeable teams are all experts in the field. We will get you impressed, you will have a MAJOR BLAST with us...........


All our vehicles are well maintained and have:

Pop-up roof tops

Luggage rack

Pair of binoculars

Cool box

HF Radio

Set of wildlife reffence books

You might not leave anything behind but You will carry a memory of a lifetime with you!

MKANDA KAMILI WA PICHA ZA HARUSI YA Ester Ulaya na Cathber Angelo

Beatifull Ester and husband Cathbert

Mimi Cathber ........... nakutwaa wewe Ester.... uwe mke wangu halali wa ndoa, katika shida na raha .............mpaka kifo kitakapo tutenganisha

Waka Waka


Ushahidi ni huu, msije kusema haikuwa kweli au ni movie labda walikuwa wana act, nooo!! ni kweli bana.







Ma Champanyoo yenye kilevi na yasio na kilevi kwa maharusi na wageni waalikwa



Captain aliniwakilisha, nimemisiijee

Na hadithi ikaishia hapo.
Mnuso ulipoisha naskia wakaelekea Nyumbani Lounge kukamilisha furaha ya siku yao kubwa

Kila kheri karibuni sana dunia hii.

DIET YA MWEZI WA PILI KWA WALE TUNAONDELEA NAYO.........Kama ndio unaanza rudi nyuma kwenye older post uangalie tulipotoka


Mambo muhimu ya kuzingatia wakati unaendelea na diet hii:


1.
Kila tunda utakalo kula hakikisha umetoa ngozi

Hasa zabibu na machungwa, chenza usimeze ngozi yake
Inasadikika kuwa ngozi zinachukua muda sana kusagika tumboni
Hali kadhalika unapokula kuku uondoe ngozi

2. Unaweza kuacha kunywa Coffee au Tea kama utaweza
Kwakuwa maji moto ni replaement ya hivyo vitu ila kama unapendelea endelea navyo tu, havitaathiri chochote katika mchakato huu.

Day 1:
Asubuhi kitu cha muhimu ni sit ups 100, ruka kamba kwa dakika 15
Kisha kunywa maji moto yenye ndimu/limao glass 4


Breakfast: 1 Toasted Brown Bread, 1 Boiled egg, Matunda bakuli zima na Coffee/ Tea ukipenda ila sio lazima

Mchana hali kadhalika unatakiwa unywe maji moto glass 4 kabla ya lunch

Lunch: Bakuli kubwa sana la Salad
Kipande kidogo sana cha samaki wa kuchemsha "robo samaki"

Jioni utatakiwa ufanye sit ups 100 na kunywa maji moto glass 4

Dinner:
1/4 Kuku wa kuchemsha ukitupia na vegetables na ndizi moja bkoba ya kuchemsha.......Hapana kiazi tafadhali

Jiggy kwa dakika 30 -45


Day 2:


Asubuhi unafanya sit ups 100 na unakunywa maji moto glass 4

Breakfast: Cornflakes tu
Cornflakes uweke ujazo wa mikono miwili tu ya mtu mzima na sio zaidi ya hapo
Maziwa upime ujazo wa kikombe kimoja cha kawaida sio Mag

Mchana pia unywe maji glass 4 za moto kabla ya lunch

Lunch: 1/4 Kuku wa kuchoma hakikisha unatoa ngozi ya kuku wakati unamla au sisitiza achomwe bila kuwa na ngozi yake.
Matunda bakuli zima


Jioni fanya sit ups 100 na unywe maji moto glass 4
Dinner:
Kunywa vegetable soup bakuli kubwa kabisa la size ya kichwa cha mtu mzima
"No jiggy today"


Day 3:

Asubuhi ukiamka ruka kamba dakika 15 na sit ups 100 Kunywa maji moto glass 4

Breakfast: Ndizi mbivu 1 1 Cup of Coffee / Tea
1 Fried egg

Mchana unakunywa tena maji moto glass 4

Lunch: Mishkaki 3 ya Samaki Ndizi 1 ya kuchoma Bakuli zima la Salad

Jioni maji moto glass 4

Dinner: 1/4 Kuku wa kuchemsha aliewekwa mboga mboga na
Kiazi kimoja kikubwa cha kuchemsha.
Unaweza kuchemshia hicho kiazi ndani ya huyo kuku
Pata Jiggy pia usiku huu

**********************************************************************************************************************************************************
*********************************************************************************************************************************************************************
Day 4:

Asubuhi fanya sit ups 100 Kunywa maji moto glass 4
Breakfast: Matunda bakuli zima
Mchana kabla ya mlo. Ada ni kunywa maji moto glass 4

Lunch: Bakuli kubwa la coccked vegetables 1 Glass ya Orange Juice

Jioni usifanye sit ups "jioni"

Dinner: Samaki mzima wa kuchemshwa weka chumvi na ndimu / limao tu. Unaweza kula na mboga za majani zilizopikwa
kwa kijiko kimoja cha vegetable/ olive oil
Usichague samaki mkubwa sana wastani tu wa urefu na ukubwa wa kujaa sahani kama huyu

Day 5:

Ukiamka asubuhi unaruka kama kwa dk. 15 unafanya sit ups 100 Kisha unakunywa maji moto glass 4

Breakfast: 1 Cup of Coffee with Milk/ Tea "Sukari 1" 1 Glass ya Karot Juice 1 Toasted Brown Bread 1 Boiled Sausage
Mchana kabla ya lunch unakunywa majo moto glass 4
Lunch: Mishkaki 3 Kuku Ndizi 2 za kuchemsha (Ndizi Bukoba) Salad bakuli zima

Jioni unafanya tena sit ups 100 Unakunywa maji moto glass 4

Dinner: Supu ya samaki ila usiweke kabisa viazi hata kidogo Kula bakuli zima la matunda Malizia na Jiggy "kwa afya yako"

************************************************************************************************************************
***********************************************************************************
**********************************************************************************
Day 6:

Asubuhi usifanye sit ups wala usiruke kamba, jipumzikie mwaya. Kunywa tu maji moto yenye limao/ ndimu glass 4

Breakfast: Matunda mengi sana hata ukiweza kula ndoo nzima ni juu yako 1 Cup of Coffee/ Tea "Sukari 1"
Mchana kabla hujapata
"déjeuner
"
lunch
unakunywa tena maji moto glass 4


Lunch: Chicken sausage za kuchoma sio nyingi sana
Kama unatumia zile fupi fupi kula 4.
Kwa ushauri tumia zile za roller ila usimalize,
roller zima
kata zitoke ukubwa wa sausage nne zenye size ya kati
kama picha inavyoonyesha
hapo chini Kula na coocked Vegetables,
za aina yoyote kwa chaguo lako na taste ya mdomo wako

Jinsi ya kupika hizi bamia inabidi utumie kijiko kimoja tu cha mafuta
Iwe Vegetable au olive oil, usiyajaaze mafuta itakuwa ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
Ili hata mboga ikiiva isionyeshe kuwa ina tone la mafuta


Kabla ya chakula cha jioni hakikisha unakunywa maji moto glass 4 yaliokamuliwa ndimu/limao

Dinner: Samaki mzima wa kuchoma size ya kati asiezidi nusu kilo
Bakuli zima la Green Salad
2 Glasses za White wine
kama ni mnywaji
(Manake itakuwa ni J'mosi)

Unaweza kupata na Jiggy kama una partner (Dk 30 -45)
Inategemea na pumzi yako



Day 7:

Asubuhi unafanya sit ups 100 Unakunywa maji moto glass 4 yaliokamuliwa ndimu/ limao

Breakfast: Matunda ya aina zote kwa wingi (Epukana na ndizi) Sausage 1 ya kuchemsha 1 Cup of Coffee / Tea "Sukari 1"

Kabla ya lunch unatakiwa tena kunywa maji moto glass 4

Lunch: BBQ Chicken 1/4 ni muhimu sana kuepuka kula ngozi ya kuku Bakuli kubwa la Salad 1 Glass ya Juice ya Nanasi isio na sukari zaidi ya kijiko kim0ja

Jioni kabla ya dinner pia unatakiwa kunywa maji moto glass 4

Dinner: Vegetable/ Mushroom soup 1 Glass of White wine........(Manake hii itakuwa ni Jumapili)

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive