YALIOJIRI WEEK END......
The Arcade mambo yalikuwa kama hivi

Waliokuja kwa mbwembwe wengine walirudi na huzuni zao nyumbani

Walioweza kustahamili waliendelea kula burudani ya Machozi Band baada ya match


Hii ilikuwa ni umamosi ya tarehe 28 May 2011

Michezo mingine pia ilikuwepo mbali na kuangalia mpira


Jerome Heineken ndio alikuwa host wa hiyo kituRed Carpet na watu walipata nafasi ya kupiga picha hapo


Ni usiku wa Heineken ndani ya Arcade ambapo Man U walilala Doro

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive