TUMALIZIE STORY ZA GREECE
Hili jengo linajulikana kama The Partheon linaonekana kwenye Euro ya Greece pia
Ni maarufu kwakuwa wafalme wa nchi hiyo walikuwa wakikutana hapo kupanga mikakati ya kuikomboa nchi yao, kwa sasa limebakia kuwa hirtoria
Kwakuwa ni la miaka mingi huwa linabomoka bomoka na wanarudishia kulijenga kwa mfano wa kama lilivyokuwa mwanzo
Ili wasipoteze taswira halisi

Walipopata uhuru wao wa kujikomboa dhidi ya Uturuki walipandisha bendera yao kwenye mlingoti huo, na kuanzia hapo haikuwahi kushushwa tena mpaka kesho kutwaAunt Macho kulia ni mama wa ukarimu sana

Bila kumsahau mtoa Story Da Mwanaidi na Uncle kushoto kwangu ambae alifadhili tour yangu ya kijiji hicho cha Makumbusho

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive