UKISTAAJABU YA MUSA

Yani hapo hapo niliposimama ndio stage na hiyo microphone mnayoiona katika picha ni ya Cable, cable yenyewe si cm nyingi na unatakiwa Kutumbuiza.
Nitarudi kwa mchapo zaidi nikishatulia na kupata picha ya muandaaji wa hii shughuli na misuko suko iliotokea hapo


Nashukuru fans wote wanaojitokeza ku support Jide hata kama ni juu ya bati

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive