HAFLA FLANI HIVI ILIFANYIKA MLIMANI CITY.......BAADA YA HII NITATOA HESABU ZA SHOWS ZOTE MPAKA HAPA ILI MSIPOTEE MAHESABU TUKIANZA SHINDANO

Washindi wa shindano la kuhesabu shows lililopita wote walishapata zawadi zao ila Timing tu ya kuelezea ilikaa vibaya.
Nitatoa maelezo baadae ya idadi gani ya shows zimefikiwa kuanzia January mpaka May.
Pia nitatoa tarehe ya fainali za kutoa majibu na wakati huu zawadi zitaongezeka zaidi.
Na nitaweka picha za washindi wote waliopita na zawadi gani walipata
No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive